Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

PKNS win
Spartak win serbia
Partizan win
Cukaricki win
Crven zvezda win
Novi Pazar over 0.5
Trakai win
NS Matrix win
Kuala Lumpur win
Johov DT II over 0.5
Zamalek win
Flora win or over 0.5
Sparta over 0.5
Twente over 0.5

Jamaniee nimezichambua kwa kina sana hizo jichagulie zako tano hapo wa Mia tano buku weka hata zote kwa jero buku.... Chagua kadhaa pita nazo
 
Mimi nachambua taratibu za weekend katikati ya wiki huwa zinanishinda
 
Mimi nachambua taratibu za weekend katikati ya wiki huwa zinanishinda


Kaka ukimaliza uchambuzi tupia huo wa weekend tudese. Nataka na mm nianze kujilipua na stakes kubwa kubwa km akina Root & Economitrician ...
 
Jana asante kwa Hazard na Totti na Higuain
Bila wao nisingepata



Mi nimegundua napishana na hela kwa uwoga wa kuweka stakes kubwa kubwa. Kwa muda mrefu naweka mkeka wa timu hadi 15 lkn nakosea timu chache sana au wakati mwingine nakosea goli moja tu ... kumbe kuna uwezekano wa kuweka chache halafu stake ya maana nikapata mpunga.
From now on, I am following your ways!
 
Natafuta point 4 ....
Ila Dortmund,atletico madrid...siwaachi
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-02-15-26-48.png
    44.2 KB · Views: 46
Bet kwa uwezo wako usiige ukaomba pesa ya kodi kama mwenzako...
 
Hawa wajapan sithubutu kuwafuatilia tenaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…