Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi m-bet kuna optiona ya kukatisha mchezo? kwa mfano umebet game 10, 8 zimetoka zimebaki mbili ambazo hazijaanza unaweza kuchukua mpunga wa zile mechi 8 nyingine ukapotezea?
 
Hivi m-bet kuna optiona ya kukatisha mchezo? kwa mfano umebet game 10, 8 zimetoka zimebaki mbili ambazo hazijaanza unaweza kuchukua mpunga wa zile mechi 8 nyingine ukapotezea?
Mbet hawana ipo meridian
 
Molde kala teni langu dah hiz timu ndgo ndgo siji kuziamin tena wapo kama wamasai yani


Jaribu magoli next time mkuu ... Norway Cup wametoa sana 3+ leo, japo sio wote lkn majority wametoa
 

Hongera mkuu naona teyari shavu dodo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…