View attachment 344922
Maoni yenu wadau hapo.<mchawi nani>
m-bet wanataka kuanzia time tatuHapo uko sawa man. Hofu ipo kidogo kwa Malmo FF (nahisi anaweza toa draw) ... hope it goes your way.
All the best
m-bet wanataka kuanzia time tatu
tuko pamoja
Nimekufuata.Tupia na wa 2+ kama hautojali maana najisikia kusafiria nyota yako leo.
Mmmmh!hapo ziwe mechi TATU ziwemeshachezwaHivi hii option ya kuTurbo mbona haikubali leo ... nataka nifanye marekebisho kidoogo kwny haka kamkeka kangu ...
View attachment 344970
next game ni saa 7 mchana.
Mmmmh!hapo ziwe mechi TATU ziwemeshachezwa
ngoja nikangalie kama bado una hena [emoji125] [emoji125] [emoji125]Oooh ok nimekusoma chief. Ngoja nisubiri tu sasa, kama "yaliyomo yamo". 😉😉
Kipindi nakufuata hiyo game ya Gwangju ilikuwa imeanza tayari so sikuiweka bali nilitafuta nyingine mbili tatu za kujazia.Kaka hela ya coffee imeshagoma ...
View attachment 344969
Matokeo ndo km hapo yalivyo 🙁
Ilitakiwa Gwangju FC ashinde 2-0 au watoe draw ya 1-1.
Kipindi nakufuata hiyo game ya Gwangju ilikuwa imeanza tayari so sikuiweka bali nilitafuta nyingine mbili tatu za kujazia.
ni kweli mkuu hiyo tabia nilikua nayo ila kwa sasa nimeacha[emoji23][emoji23]hiyo ya kutafuta timu ya kujazia ndio inayotugharimu mara nyiiiingi