Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wa kesho jichagulie.
 

Attachments

  • 1462547944669.jpg
    20.6 KB · Views: 41
Well said mkuu,
 
Hawa England U17 kweli wameshindwa kutoa hata draw tu aisee nliwapa 1X&0-3...nalala mapema tena mtaji umegoma.
 
Hawa England U17 kweli wameshindwa kutoa hata draw tu aisee nliwapa 1X&0-3...nalala mapema tena mtaji umegoma.


Pole mkuu ... usilale tafuta timu za kesho utupie kbs, kuna wale waAustralia wachezaga mapema sana sometimes kuanzia saa 1 asbh.
 
Hongera sana
Ngoja sisi tusubirie kesho ma plan kubwa za kumtoa 20mil
Duh! 20m?

Lkn nimeona bet tunaishindwa wenyewe kwa kutaka hela nyingi kwa mtaji mdogo.

Leo nimesacrify laki tatu nashangaa nimelala na laki NNE faida
 
Nawekeza milioni 4 kesho odds 5 tu kesho
Mi huwa sina presha sana
I do it
Aisee wengine ten tu ikiliwa mawazo sasa mkuu 4 m dah ngoja niendelee kukuza mtaji maana ukiwa na mtaji mkubwa kila siku utaingiza mtonyo
 
I do not encourage betting, its addictive. Always learn when to say its enough.
I sometimes stop for weeks, months
I lose, I gain, I learn
Bet responsibly
Bet what you can afford to lose
Do not use your school fees or rent money in betting
 
Hii ni biashara kama biashara zingine, biashara yoyote ile mtaji wako ukiwa mkubwa na faida unapata kubwa
Ukiichukulia kama mchezo inakula kwako

Wenye makampuni kwao ni biashara


Ila weka kile unachoweza stahimili kikipotea



Well said mkuu .πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Tatizo wengine tukitia maguu na kujaribu mara moja kucheza stake ya kilo 2 ikaliwa ndo inakuwa mwanzo na mwisho, tunarudi kwenye buku 5 au 10 zetu .. heheheheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…