Well said mkuu .🙂🙂🙂
Tatizo wengine tukitia maguu na kujaribu mara moja kucheza stake ya kilo 2 ikaliwa ndo inakuwa mwanzo na mwisho, tunarudi kwenye buku 5 au 10 zetu .. heheheheh
Kweli kabisa. Kuna siku nimekula laki saba mechi za mchana badala ya kusema nipumzike nikapanga mikeka ya jioni nikakombwa hela yote na masalia juuI do not encourage betting, its addictive. Always learn when to say its enough.
I sometimes stop for weeks, months
I lose, I gain, I learn
Inabidi kutulia ikiingia hata elfu 10 kwa siku ni faida kubwa tatzo wengi tunashobo na mpunga mrefu ila kwasasa naenda mdogo mdogo staki makuu
Well said mkuu .🙂🙂🙂
Tatizo wengine tukitia maguu na kujaribu mara moja kucheza stake ya kilo 2 ikaliwa ndo inakuwa mwanzo na mwisho, tunarudi kwenye buku 5 au 10 zetu .. heheheheh
Kinachofanya mtu aweke tim nyingi ni kuongezea odds tatzo ndo linapoanziaMi kwa siku ni mechi moja moja tu
Mfano toka jumatatu nimeweka na sijaliwa hata thumni
Sababu niliweka mechi moja moja ila stake ni kuanzia 500k
Bayern
Roma
Madrid
Liverpool
Unaona hapo kwa hizo siku nne zote nilikula maana wote walishinda
Ndo umeanza kuuelewa mchezo now[emoji1] [emoji1] [emoji1]Inabidi kutulia ikiingia hata elfu 10 kwa siku ni faida kubwa tatzo wengi tunashobo na mpunga mrefu ila kwasasa naenda mdogo mdogo staki makuu
Kinachofanya mtu aweke tim nyingi ni kuongezea odds tatzo ndo linapoanzia
Ndio yani mwanzo nlikuwa nataka kula pesa ndefu sana nkawa naambulia za uso now naweka team chache stake ndefu nkiambulia 10 inatosha per dayNdo umeanza kuuelewa mchezo now[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Goli la tatu limeshindwa kupatikana na hivyo mkeka kuchanika ... Flora daah 🙁
View attachment 345289
Tuliokuwa pamoja kwenye mkeka huu poleni sana.
pole mkuu mimi niliamua kwenda na 2+
ila hao waliobaki ndio wananpa pressureHahahaha ... hongera sana chief. At least hatujapigwa wote.
ila hao waliobaki ndio wananpa pressure
Rehden kauchana mamaa,,eeUtatoka tu mkuu usihofu ... hawa wafaransa (Natioan league) leo naona wameamua, full 3+ af game ziko dk ya 69
View attachment 345290
Halafu walikuwa na odds za ukweli kinoma kwenye option ya 3+ ... tumepishana na hela hapa.
Ebanaa..!! embu nipe uzoefu mkuu. inawezekana kula kwa game zote hizi..!? Yani umewahi kushinda? Nataka nikuunge mkono keshoWale wa kesho jichagulie.
Timu nyingi sana wajomba
Root mimi naamini hata ukiweka single bet still una probability ya kushindwa but inakuwa ndogo sana
Ebanaa..!! embu nipe uzoefu mkuu. inawezekana kula kwa game zote hizi..!? Yani umewahi kushinda? Nataka nikuunge mkono kesho
Ushauri tu.kipindi hichi cha mwisho wa ligi usiwekeze sana kwenye ushindi.matokeo ni ya ajabu sawa.kuna Tim kama Bayern,PSG,juve usiwabetie sababu washamaliza kazi.kuna timu zinapambana kushuka daraja.Ndo hapo inabidi hesabu zako zikae sawa sawa
Timu kama Bayern haichelewi kukuuua