Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

A MUST WIN
Tolouse v Troyes- 1
Aston Villa v Newcastle-2
Accrington v Stevenage-1
Elfsborg v Gefle- 1
Lille v Guingap-1
Monchenglabach v Leverkusen -1
Kwenye bet hamna MUST. Maana ya bet in Bashiri
 
Kwann mkuu mm naona Charlton hata akishinda anabak pale pale Burnley akipoteza anaweza kuwa wa pili kwahyo lazma ajitahid
Tatizo ni kwamba Burnely keshapanda daraja tayari hata akiwa wa pili.Then sababu kubwa ni kwamba kwa hiyo gemu kumpa Burnely odd ya 1.52 ni kutufool sisi...ni kubwa sana kwa kiteam kama charlton ambacho tayari kimeshashuka daraja.So naamin kuna mchezo umefanyika hapo but chochote kinaweza kutokea
 
Mkeka 1
 

Attachments

  • 1462620314260.jpg
    16.8 KB · Views: 48
duh nimeweka pesa m-bet nusu saa sasa haionekani kwenye account na voda washatuma uthibitisho,nimtafute nani sasa,voda au gateway gaming limited.?

Mkuu, umeshaiona hiyo hela kweny M-bet account?

Kama umeiona, umefanyaje? Coz hata mimi hilo swala limenipata now.NimeDeposite, bt inasomeka "Payment Pending"
 
Hahahahahahahahaaha hullcity keshatumbuliwa kama kawaida yake
 
Leo hii pesa ikipeperuka itauma Sanaa game nyingi zipo open sanaaaa
 
Ushahidi wa message huu hapa mkuu

Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 1,078,606. Umepokea TSh 1,068,285 kutoka kwa M Bet MFI, kumbukumbu ya malipo. MFICI.160501.1019.W3890753681. 01/05/16 10:19.
Kama Ngekewa vile.
 
Huwezi amini leo namshabikia man utd mikeka bado inapumua vizuri
 
Dah, hapa sijui nicashout tuu nipotezee game zilizobaki au nijitie kichwa ngumu nisubiri mpaka mwisho.



 
Dah, hapa sijui nicashout tuu nipotezee game zilizobaki au nijitie kichwa ngumu nisubiri mpaka mwisho.




Hahahaha mkuu komaa uoga wako ndiyo umasikini wako. Nawezaje kujiunga na bet365 mkuu???
 
Huyu dortmond leo asipobadilika atatulaza mapemaaaaaa
 
Hahahaha mkuu komaa uoga wako ndiyo umasikini wako. Nawezaje kujiunga na bet365 mkuu???

Boss unajiunga tuu kawaida. Ingia website yao unajiunga. Ila jaza details zako za ukweli. Maana ukijaza uongo itakusumbua katika kuja kutumiwa pesa kama ukishinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…