Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Hawa nao walishindwa kuongeza goli moja moja ... daaah !!!


 
leo nimepumzika nafanya uchambuzi wa aina gani ya bet itakayoleta unafuu
 

Hahaha ... 😀😀

Hasira zinakuja pale unapoona kuna mechi zaidi ya 500 zimecheza kuanzia ijumaa halafu mtu umeshindwa kubahatisha hata mechi 5 tu ukapata hela ... teh teh te teh

Hebu check mfano ...




Yani ukiziangalia ndo zinakupa hasira ... hata option ya 2+ kwa timu 15 tu imeshindikana ... daaaah
 
4/4
1487 09-05 20:00 Orebro-Hammarby IF
Draw No Bet1 1.61
3200 09-05 13:30 Bulleen Lions-Avondale Heights Total Goals2+ 1.15
1461 09-05 20:00 Sandefjord-Mjondalen
Total Goals2+ 1.13
1894 09-05 20:00 Konyaspor-Kasimpasa
Draw No Bet1 1.53

Total odd3.20
 
Kuna Hii Misenge Inaitwa Ajax Imeninyima Kahela Kasoda.
Na Ubingwa Imekosa Na Ilikua Inaongoza Ligi.
Kama Mibwabwaaaaaaaaaa!
 

Mkuu,hapo kwenye "Draw No Bet" ina maanisha nini hiyo Option????

Msaada pleaaaaaaaaase!
 
Hyo option ya Draw no bet hua ina maanisha nini mdau
 
MKEKA wadauu 🙂
spezia= 1
vasteras sk =1
h.beer sheva=1
i.pavlodar =1
h.Raanana= 2
serbia u17= 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…