Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa fresh ...

Sunderland - 1.81
Midtylland - 1.38
Horsens - 2.20
Rubin - 2.20

-------------------------
Total Odds = 12.09
Stake = 10,000/-



Rubin & Horsens mmeninyooosha ...🙁
 
Dah kwenye mikeka yangu hata sijui kimetokea nini naona maaandishi mekundu sio uale ya kijani[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji35] [emoji125] [emoji125]
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari Clouds TV..kuna mtu kashinda mil 160 Supabets alafu hawataki kumpa wanamwambia ODDS zilibadilishwa kwahiyo hawawezi kumpa Anadai chake
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari Clouds TV..kuna mtu kashinda mil 160 Supabets alafu hawataki kumpa wanamwambia ODDS zilibadilishwa kwahiyo hawawezi kumpa Anadai chake
Hata me nmeiskia hyo nadhani jamaa wanahaha baada ya kunyooshwa watoe tu hzo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…