Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Izo odds si waliweka wenyew naskia wanasema watawalipa ila pungufu supabet wameanza uhuni


Hahahaha ...watoe mpunga huo, wao wanaona raha kutunyoosha kila siku wao wakinyoooshwa wanaanza figisu, mara utaskia mtandao unasumbua mara hiki mara kile ... sheeeeenzi kbs.
 
Hahahaha ...watoe mpunga huo, wao wanaona raha kutunyoosha kila siku wao wakinyoooshwa wanaanza figisu, mara utaskia mtandao unasumbua mara hiki mara kile ... sheeeeenzi kbs.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wamekula za uso hapo jamaa angeliwa hata wasingeongea kama odds zlikosewa acha nao wanyooshwe sio kila siku sisi tu
 
Nasikia odd moja ilikuwa inasoma 98 kwa hiyo ukiweka buku kwa mechi mbili 98 X 98 X 1000 unaweza kuona hesabu yake hapo.
Nadhani kama wakitaka kuwafanyia uhuni hao washind Supabet watapunguza watu wa kuwaamini wanataka kila siku kula wao pekee
 
Kesho.
------------------------------------------
SARPSBORG 08 FF 1.73 WIN
BSC YOUNG BOYS 1.36 WIN
START 1.31 LOSE
KONGSVINGER 1.98 WIN
JERV 3.00 LOSE
ASANE 1.77 WIN
VALUR REYKJAVIK 2.03 WIN

----------------------------
Kongsvinger Win
Sogndal Win
Zamalek Sc Win
Start Lose
Aalborg Lose
-------------------------------------------

Chagua mechi nne hapo then weka hela nzuri.Chambua upate bet slips tatu za mechi nne nne.
 
chels juzi kasepa na mamilioni ya mtu leo naona anajikongoja
na sina imani kama kuna mtu alimpa
 
BREAKING NEWS: Norwich & Newcastle Utd are officially relegated from the Premier league.
 
chels juzi kasepa na mamilioni ya mtu leo naona anajikongoja
na sina imani kama kuna mtu alimpa


Hahahah, Liver wamechomoa dk ya 90+1, 90+3': Liverpool 1-1 Chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…