Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata me nmeiskia hyo nadhani jamaa wanahaha baada ya kunyooshwa watoe tu hzo pesa
Leo ndo nimeweka hela kwa Mara ya kwanza superbet. Makato yao ni balaa ukiweka buku unalatwa jero[emoji36] mhudumu mwenyewe ukipiga anapokea kama mtu Ana haraka anaenda kuoga. Dem flani IV msela msela tuu. Wanakupa code flani iv na serior namba unaenda kwenye A/c yako kuna sehemu unaingiza vocha inaingia. Anyway kwenye options wako vizuri, odd wanazo nzuri aisee ukiamua kuwanyoosha utawanyoosha kweli.
 
ukiweka buku unakatwa jero?
mambo ya vocha endeleeni nayo
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari Clouds TV..kuna mtu kashinda mil 160 Supabets alafu hawataki kumpa wanamwambia ODDS zilibadilishwa kwahiyo hawawezi kumpa Anadai chake
onlinee ndio mpango kuonana physically inaleta tamaa sababu zao sio za msingi
 
duuu ... hatarious !!!
Buddy nimejiunga nao juzi wana odd kubwa kubwa kishenzi. Watu kama Wakusoma na madau yake watamfungia teh teh yani mechi lipatikane goal kipindi cha kwanza odd 2.30 over 1.5..odd 1.98[emoji39] [emoji39]
 
Buddy nimejiunga nao juzi wana odd kubwa kubwa kishenzi. Watu kama Wakusoma na madau yake watamfungia teh teh yani mechi lipatikane goal kipindi cha kwanza odd 2.30 over 1.5..odd 1.98[emoji39] [emoji39]


Serious? ngoja kesho niangalie taratibu za kujiunga ... heheheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…