[emoji38] [emoji38]Usitishwe na dau mkuu Kama uliweka elfu kumi umepata faida buku sits sio mbaya.
Lkn kumbuka bet kamari ya pata potea na mm kuna Sikh mambo yanakuwa hovyo unakuta nimenuna mpaka majirani wanajua huyu Leo VP?
Hahaha ... wanakulazimisha uicheze tena.
Yaani unaangaika online kutengeneza mkeka...unakula..hela inagawanywa eti Cash...upande mwingine..bonus...alafu bonus huwezi kuitoa labda uliwe...loooh wabadilishe hii sio hakiYah boss, wanatulazimisha tuichezee tena wakati kwa wale wanaotoa mikeka ya karatasi bonus yao wanapewa mkononi
Mm mbn nawekaga fresh 2Hivi wakuu kuna aliyefanikiwa kuweka namba ya tigo pesa kwenye account ya premier betting? Manake mimi inanigomea kabisa!
Sasa mimi sielewi nakosea nini? Kwasababu tayari 255 imeshaandikwa, mimi huwa naongezea namba yangu bila sifuri ya mwanzo yaani naandika 719******,sasa nikiandika hivi naambiwa kwamba namba ni fupi mno!Mm mbn nawekaga fresh 2
Rosenborg
Asane
sandejford
matokeo?
IlikuwaKm ndo ulikuwa unawasubili hao basi anza kushelekea 2, wanaongoza kwa cap kila mmja na dakika za lala salama
Ilikuwa
Odense
zamalek
rostov
aasane
sandajford
rosenborg
Zamalek
Al ahly
Rosernborg
Young boys
all win