Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867

Hapo sijui imekaaje! But M-bet kiwango cha chini cha kuweka Dau ni 1000 Tshs....

Sasa sijui ilikuwaje Bet yako ikakubaliwa! Anyway, wapigie uwaelekeze, Hata kama kosa limebaki kwao..Waambie, hata kama hiko hivyo, Why the Ticket was accepted!!??[emoji134]

Pole mkuu, ni mahela mengi hayo.
 

Mkuu kiwango cha chini km hauna account yao ndio 1000, ila km una account ni 500
 
wallet unanzia jero ila tigo pesa ndio unanzia buku
 
Ya sadaka asbh hii.
1. Machida vs Giravaz 1
2.Cerezo vs Renofa 2+
3. Jef vs Roasso U3.5
4. Thespa vs Yokohama U3.5

Odds 3.45
Stake 300,000/=
Possible win 960,000/=

Nb: kopi michezo usikopi stake
machida kaliwa 1 dakka ya 80+
 

Mkuu me nipo nasubili kamtaji kangu kutoka mbet, ila nashangaa hadi saiz kimya wakat ni hela ndogo sana, kulikuwa na match ambazo zinaanza sa 10:30 me nikasubmit sa 10:27 na sms ikarudi, ss je hapo namimi naweza kuwa kwenye kundi la kuchelewa?
 
M bet makuzi kweli juzi nlikuja kulia hapa jukwaan nlikula mkeka saa 7 mchana tiket ikasoma paid mpaka saa 5 na nusu usiku ndo tiket inaandika winner wanatumia hela team nyingine zilinipita mno na mahasira nao sana mamayr zao
 
Leo naona m bet Number kapewa 3.28 wakati anacheza na kibonde wakuu ebu angalien hio odd kama kuna wa kufaidi tufaidi
 
Udinese 2.28
Lanus 2.74
S.Gijon 1.41
Man u 1.39
Man city 1.51
R.Vallecano 1.32
Getafe 1.67
Sporting CP 1.42
West ham 2.12
Fenerbahce 1.32
Besiktas 1.46
Zenit 1.41
ALL TO WIN NORMAL

Odds kwa hisani ya
M bet
 
Udinese 2.28
Lanus 2.74
S.Gijon 1.41
Man u 1.39
Man city 1.51
R.Vallecano 1.32
Getafe 1.67
Sporting CP 1.42
West ham 2.12
Fenerbahce 1.32
Besiktas 1.46
Zenit 1.41
ALL TO WIN NORMAL

Odds kwa hisani ya
M bet
Udinese kimeo
 
Ni kweli Udinese ni kibonde lakini naamini hawezi kukubali kushuka daraja mzee,maana CARPI ashashuka tyr.
 
kama ukiweka hela online wanakubali jero mkuu
 
Mkuu kiwango cha chini km hauna account yao ndio 1000, ila km una account ni 500

Labda useme,kama kiongozi hapo chini, amesema " kweny wallet inaanzia 500.......Ila kwa tigo/Mpesa inaanzia 1000/=

Hapo sawa,Pamoja mkuu.
 
Mkuu Mbet via wallet wanakubali hadi jero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…