Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

daah si mchezo. mkeka wa magoli ndio unapumua pekeyake.
Umeona mkuu.... Yaani zile league ni "feeder" .... Ukiona bora msimu huu jua fika msimu ujao watauza sana ligi kubwakubwa.... Unamfata kwa historia kumbe kuuza karibu nusu..... Mpaka wake kutulia mechi 10 -15.... Ushapigwa za USO za kutosha......
 
1. Brighton Vs Sheffield Y
2. Berras central vs Communication Y

Odds 4.2
Stake 45,000
 
Mazeee kama kuna MTU aweke pesa Brighton anashinda.... Kwa hizi game nnavyoangalia dkk18 wameshafika golini kwa sheff mara12..... Ni ha
 
Angalizo tu mkuu, hivi vitu viko programmed and i hope they wont be in the loosing side. Kwa hiyo iwe sasa au baadae ni LAZIMA watengeneze faida
Ni kweli mkuu,ndio maana nacheza magoli na sio ushindi angalau kuikaribia bahati na siweki stake kubwa.
 
Zidisha hizo odds 1.83 x 2.25 = 4.12

Ili kuamini kuwa mkeka wangu ulikuwa wa timu mbili tu kama nilivyopost. Half chukua 45000 x 4.12 utoe kodi jibu lake ni 160000 hapo utagundua nimetengeneza faida 160000-45000= 115000
Naombeni tuwe tunaaminiana yaani mm huwa mnanituhumu mpaka nawaza naingia JF kwa manufaa ya nani?

ANGALIZO: HUWEZI KULA KILA SIKU JAPOKUWA UNAWEZA KULIWA KILA SIKU
 
Huu mchezo hauna adabu yani timu nimeipa kepu imeshinda kawaida alafu zote zimetoa kasoro cap tuuu...kweli Huu mchezo hauitaji hasiraa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…