zig_charlzy
Member
- Jul 24, 2014
- 92
- 23
Nipeni pole wakuu.. Maumivu yangu yamechanganyika na hasira ya kikatili. Kila muhindi ninayenwona mjini namwona ndie mbaya wangu

Nimeangalia AlJazeera wanasema kule Vietnam wachezaji saba na bookmaker wamekutwa na hatia ya kupanga matokeo. Upangaji wa matokeo unatuathiri sana sisi wafanyabiashara kwenye hii biashara
Hahahaha wakuu owner/CEO Wa Bet365 kaingia kwenye list ya World Billionaire.. Hii biashara inamlipa
Hapo ilikuwa inafanyika analysis kabla ya kuweka mkeka.
Nimeumiza kichwa kama injinia wa NASA anataka kupeleka chombo mwezini
Nimeangalia AlJazeera wanasema kule Vietnam wachezaji saba na bookmaker wamekutwa na hatia ya kupanga matokeo. Upangaji wa matokeo unatuathiri sana sisi wafanyabiashara kwenye hii biashara
HT : Zenet anaongoza goal moja lakini wana red card
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums