Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeangalia AlJazeera wanasema kule Vietnam wachezaji saba na bookmaker wamekutwa na hatia ya kupanga matokeo. Upangaji wa matokeo unatuathiri sana sisi wafanyabiashara kwenye hii biashara

Mi naamini kuna somethng behind betting business mana ther z no easy money mzee
 
Hahahahaa naona watu na macalculator humu utadhan wapo class, Kuonyesha uchawi wake muhind sasa tutapotea sana... Bado nasuka wangu..
 
Hahahaha wakuu owner/CEO Wa Bet365 kaingia kwenye list ya World Billionaire.. Hii biashara inamlipa
 
kama ulivyo
 
Attachments

  • 1409069609108.jpg
    1409069609108.jpg
    35.9 KB · Views: 58
Nimeangalia AlJazeera wanasema kule Vietnam wachezaji saba na bookmaker wamekutwa na hatia ya kupanga matokeo. Upangaji wa matokeo unatuathiri sana sisi wafanyabiashara kwenye hii biashara

Hawa wenzetu wangekuwa wanafahamu kuwa hii biashara yetu kiasi kikubwa inawategemea wao wasingekuwa wanatuangusha kiasi hichi!!
 
HT : Zenet anaongoza goal moja lakini wana red card

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
wale cape de France
AJ Auxere 2 - 0 AS Nancy sasahivi ni half time so wale tulio weka mpugunga kwenye over 2.5 mambo yako poa sasa
 
Hah hah hah mi france sibet hata iwe vp nilishakomaga

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Zenit keshamaliza mambo twasubiri hizo zingine zimfate zenit tumuue mhindi leo yaani leo ni leo mfe nyie au mimi
 
Back
Top Bottom