Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msimba wa wengi ....sherehe.... Dah ....wa Romania kama waitalia manina walahi......
 
..sema haiumi saaana tukifa wengi πŸ˜€πŸ˜€



Kwamba kifo cha wengi ni sherehe [emoji28][emoji28][emoji28] ... Mi nina mkeka mmoja nliunganisha na timu za kesho bado unapumua, nauskizia [emoji5][emoji5]

Una timu 19, 7 zimeshatiki bado 12 ... daah ingekuwa ni Meridianbet wallah ningeuturbo lkn mkekabet hawana hiyo option. Kuna kukawa na mchawi kati ya waliobaki
 
M
Mechi 12 bado safari....
 
Wadau mbona mkekabet wanakua na mechi chache sana kwa siku inakuaje hapo
 
Wachawi hawa wamgekuwa wanakaa mwishoni au mwanzoni.... Tatizo wanakaaa katikati.... Dahhhh poa bana ...kaaaccount pyeeeee .......
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-18-06-20-50.png
    55.1 KB · Views: 57
Reactions: pri
Tuesday 17.05.2016
********************
Warriors FC vs Tampines Rovers FC
Tip: GG
Odds: 1.50

Xamax vs Lausanne
Tip: GG
Odds: 1.60


Kaka pole, waSingapore leo wamezing
Wadau mbona mkekabet wanakua na mechi chache sana kwa siku inakuaje hapo



Yeah ni kweli ... na ndo maana Meridianbet wanawapiga bao hawa wengine kwa sababu km hizo. Mkekabet & M-bet wako selective mno kuweka timu. Meridianbet wana hadi mechi za Zambia, Uganda, Kenya, TZ (at times). etc
 
Wadau, hivi ni league gani inaongoza kwa kufungana kipindi cha kwanza. Nataka niwe naweka 1st half 1+ ndio option rahc iliyobaki.
 
Wadau, hivi ni league gani inaongoza kwa kufungana kipindi cha kwanza. Nataka niwe naweka 1st half 1+ ndio option rahc iliyobaki.
Hakuna option rahisi kwenye betting....inategemea huu ni mchezo kubahatisha ligi za Australia nadhani inaongoza kwa kuwa na 1+ first half
 
Wadau, hivi ni league gani inaongoza kwa kufungana kipindi cha kwanza. Nataka niwe naweka 1st half 1+ ndio option rahc iliyobaki.



Kwenye hii kitu vitu sio constant bab, kila siku mambo yanabadilika na ndio maana tunaangukia za uso. Kwa mfano timu za Singapore huwa zinafungana sana lkn jana Warriors FC vs Tampines Rovers FC walitoa 0-0 ... na ukiangalia kwenye zile options za Over/Under hata meridianbet waliwapa Over 2.5 point ndogo wakiamini lazima watafungana magoli mengi, lakini ikawa tofauti.

Ingekuwa inatabirika kirahisi namna hiyo tungekuwa mamilionea chief ...
 
Hakuna option rahisi kwenye betting....inategemea huu ni mchezo kubahatisha ligi za Australia nadhani inaongoza kwa kuwa na 1+ first half


Hata Australia wiki iliyopita kuna baadhi ya timu zimetoa 0-1, 0-0 ...
 
Reactions: pri

Hii safari ilianza jana ... itaisha kesho. Mtaji unaelekea ukingoni, nikichezea za uso hapa hali itakuwa tete πŸ˜€πŸ˜€


 
Kaka upo vizuri ushauri ungekuwa unaweka mikeka miwili I mean uugawe next time



Tatizo stake bab ... kwa mfano hizo ambazo zimeshatiki zina odds ya 6.64 ambazo zinawatosha kbs akina Root, Econometrician, Complex, Wa Kusoma etc ... wazee wa kujilipua. Sie ngoja twende mdogo mdogo kwnz teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…