Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nafanyaje hapa.

majuzi nlishinda mkeka wangu nliofunga wa meridian 3+ timu ya mwisho ilikua man u, sasa niko mkoani huku mbali kidogo kikawaida waga na betia kwenye pc tu kwa web ya meridian, sasa nimefanya kuhamisha pesa yote nliyoshinda kwenda kwenye m pesa lakini mpaka sasa hivi siku ya pili leo sijaipata hio pesa.

nimejaribu kuwapigia meridian sijapata msaada wowote, kila saa wanasema waniunganishe na watu wa m pesa lakini wananikatia simu, aisee roho inaniuma sana hasa ukizingatia mkeka nlivyoufunga na namna matokeo yalivyokua yananitaabisha, mpaka sasa sijajua nafanya nini na pesa hio ni laki na 40.

roho inaniuma sana na sijuhi nafanyaje sasa.
 
Utazipata tuu mie niliwahi kaa siku4 bila kupata, angalia kuna sehemu wameandika reserved ukiona pana salio ujue bado haijaenda, hela utakuwa umetumia ila hawaja i activate, meridian huwa wanachelewesha ila hawawezi kukuzulum pesa yako.
 




Umeshai-withdraw kutoka Meridianbet? na imeshakuwa deducted kutoka account yako ya meridianbet? mara nyingi ndani ya saa 24 mpunga unakuja m-pesa. Kwa mkekabet ni ndani ya dk 5-10
 

Huu mkeka unaniuma kinoma ... daaah, yani hapo ningesema nibadilishe nilichobet kwa Liverpool niweke kwa Unterhaching na cha Unterhaching niweke kwa Liver ningekuwa na hela ya service tyr.


 

Huu mkeka unaniuma kinoma ... daaah, yani hapo ningesema nibadilishe nilichobet kwa Liverpool niweke kwa Unterhaching na cha Unterhaching niweke kwa Liver ningekuwa na hela ya service tyr.


View attachment 348914
Wachawi .....daaah!mm MLADA kashinda lakini kaninyima pesa yeye peke yake 21/22 niliwapa I1+ wamefunga kipindi cha pili
 

Kutoa kwa bet shops ndo uhakika zaidi...mimi ni mtumiaji mzuri wa meridian ila sjawai toa ela kwa m pesa alafu ikaja....we skilizia ilo salio likirudi katoe tu kwenye betshops zao..systems za mpesa za meridian bado haziko effective
 
Wakubwa HV hii double chance yenyewe inamaana gan maana nashindwa kuicheza kutokana na kutoilewa nn inamanisha ,msaada plz!!
 
Wakubwa HV hii double chance yenyewe inamaana gan maana nashindwa kuicheza kutokana na kutoilewa nn inamanisha ,msaada plz!!



Double bet ipo hivi Chief ...

1X - Ashinde wa nyumbani au mechi iishe draw
12 - Ashinde yeyote, wa nyumbani au wa ugenini. Mechi isiishe draw
X2 - Mechi iishe draw au ashinde wa ugenini.

Hope nimesomeka.
 
Umeshai-withdraw kutoka Meridianbet? na imeshakuwa deducted kutoka account yako ya meridianbet? mara nyingi ndani ya saa 24 mpunga unakuja m-pesa. Kwa mkekabet ni ndani ya dk 5-10

Yaap, Mkeka bet wapo vizuri sana kwa swala la Kutoa M-pesa. Wanaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…