upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,089
- 4,535
Hiyo ni mkeka au meridian mkuu?Double bet ipo hivi Chief ...
1X - Ashinde wa nyumbani au mechi iishe draw
12 - Ashinde yeyote, wa nyumbani au wa ugenini. Mechi isiishe draw
X2 - Mechi iishe draw au ashinde wa ugenini.
Hope nimesomeka.
Yaap, Mkeka bet wapo vizuri sana kwa swala la Kutoa M-pesa. Wanaongoza.
Hiyo ni mkeka au meridian mkuu?
Poa poa buddy nlikuwa naiona mkeka nikawa naivuka bila kuijua nkajua iko kwa meridian tuu.Hiyo option iko kote kote, Meridianbet & Mkekabet
kaka nikuulize ushawah kutoa hela kwa account yako ya mpesa huko nyuma saaa hz meridian to mpesa inachukua nasaa 10Kutoa kwa bet shops ndo uhakika zaidi...mimi ni mtumiaji mzuri wa meridian ila sjawai toa ela kwa m pesa alafu ikaja....we skilizia ilo salio likirudi katoe tu kwenye betshops zao..systems za mpesa za meridian bado haziko effective
umerudi kuchukua ela au kuliwa hela πππmaana kuna vipgo vilizagaa hum sii kitotoNimemaliza likizo wakuu nmerudi jamvini...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
kaka nikuulize ushawah kutoa hela kwa account yako ya mpesa huko nyuma saaa hz meridian to mpesa inachukua nasaa 10
Nilienda likizo sababu nlijua wiki za vipigo inakuwaje..hapa ni kupiga hela tuu[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji15]U
umerudi kuchukua ela au kuliwa hela πππmaana kuna vipgo vilizagaa hum sii kitoto