Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siamini ninachokiona hapa Millwall Y
Mkeka wa tangu Jana nimempiga mhindi 3m kwa laki moja
Uvumilivu umenshinda kjna wangu, msaada wa kamtaji m nshafail mdau wangu.. Acc meridian, Id 1231411. Siku ile tulimkosa leo twende sawa na kamtaji hako..
 
warning! Timu za italy usicheze option ya 1-10 minutes draw. huko premier betting
vinginevyo stake yako itasepa mapema huku unaiangalia ndani ya dk zisizo zidi tano tangu mechi kuanza.
Mkuu hiyo option ya draw ndani ya dakika 10 inaitwaje ?
 
Wadau mm leo najilipua kihvyo.
 

Attachments

  • 1463795869544.jpg
    34 KB · Views: 31
  • 1463795910411.jpg
    33.2 KB · Views: 31
  • 1463795930838.jpg
    35.3 KB · Views: 32
  • 1463795946300.jpg
    33 KB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…