Wakusoma Y za leoUlakoze kushima/Asante kushukuru
Mi niliweka "0" mwanzo mwa namba ya simu.....Ki ukweli jamaa wana option nyingi mnoooo, nadhan sirudi tena M-BetMbona premier betting inakataa kwenye namba ya simu kila nikijaribu kuweka tofauti inagoma
we mama uwe unaweka mikeka humu nasikia mnabahati sanaMbona premier betting inakataa kwenye namba ya simu kila nikijaribu kuweka tofauti inagoma
Daaah baada ya ubusy leo ckuweza kutupia. Hebu ngoja niingie chimbo nitafute hela ya ticket ya show ya Ne-Yo & Diamond - Mwanza
nikufuate.Mkeka A.
1. Kashiwa 2+
2. Sagan Tosu 2+
3. Jeannam 2+
4. Croydon U5
5. Campbeltown U5
Tuone kama chai tunakunywa sisi au anakunywa mhindi
Mkeka B.
1. Jubilo 2+
2. Sagan Tosu 2+
3. Kashiwa 2+
Andika nzimanzima 07********..… usianze na 7*****Mbona premier betting inakataa kwenye namba ya simu kila nikijaribu kuweka tofauti inagoma
Andika nzimanzima 07********..… usianze na 7*****
Andika nzimanzima 07********..… usianze na 7*****
Chagua jina lolote unalotaka....hata jina lakoNa kwenye username inakuwaje mbona haitaki
pesa iyo jamani
Mbona me nimedeposit saa tatu na dakika kumi na sita asubuhi hii hadi sasa haijaonekana kwenye account yangu?Premier betting bhna et kudeposit fasta tu hata dk2 haifiki
Kutoa sasa mmmmhhh nime wdraw saa saba jana mchana hadi sahv kmya
Hatari sanaMmmhhh huyu wa kusoma ni kiboko
Sasa kanunue simu uwe unaweka screenshot mkuu