Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Primier bet unatumia tigo na mpseaIvi wadau bet site ipi tz naweza deposit kwa tigo pesa na eatel money tofauti na m bet
Je hakuna site zingine nika use tho na eatel orPrimier bet unatumia tigo na mpsea
Je hakuna site zingine nika use tho na eatel or
Hivi kwa premier bet,wanaangaliaje bet history??? Msaada mkuuSite za bongo ni voda na tigo tu mkuu hadi sasa
pamoja sana mkuu. nimezoea nikibet kwenye bet shop bonus inasoma kwenye mkeka ila nkibet mtandaoni siioni, nikajua haipo.Hahaahahaahahahahahah, mkuu unapenda vya Ziaada!!!! Hahahahahaha
Bonus huwa unapewa pale tu unaposhinda,na tena ukiwa umeweka timu kuanzia TANO(Atleast).
Hahahaha! All the best mkuu.
Twende Kazi, hadi Muhindi aombe poooo,Hahaha.
mkuu, kama inakataa kila password, weka hata paragraph nzima...kama bado itazidi kukataa basi itakuwa imerogwa.Hata mimi kwenye password nmechemka mkuu ! Kila password nkieka inasema ni weak ! Mwenye kujua atusaidie
mkuu hv hz Y zina maana ya draw ama?Wakusoma Y za leo
Zangu Rangers Y
Sundsvall Y
mkuu hv hz Y zina maana ya draw ama?
PSG
RANGERS
ZORYA
ZENIT
CSKA MOSCOW
All 2+
Hivi kwa premier bet,wanaangaliaje bet history??? Msaada mkuu
Utakuwa umekosea sehemu, mbona mie nimeweka muda si mrefu haikuchukua hata 10 seconds?Jamani naombeni mwenye namba za simu za premierbet anipatie niwapigie coz kwenye email no response, nimedeposit hela kwenye account toka saa tatu asubuhi hadi sasa haijasoma kwenye account na nimefuata taratibu zote za kudeposit.
NakufuataRangers Vs Hirbenian Y
Nordja vs AAgf Y
Stadlau Vs Solenau 1
Odds 4.23
Stake 100
Return360