Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Man Utd nae ni ms****ge, kanikosesha 400K 😡😡😡😡
 
Sina hamu..
umeanza vibaya kwa kumchangia soon nitakuja na solution we andaa stake tu mkuu kuna ka option kamoja ka ajabu sana kana kuwa na od ya 1.05 hivyo kwa timu kumi unaeza pata odd 2.05 ukitia 50000 una kama 102500 tax excluded

HIZO NI ODD ZA UHAKIKA NARUDIA TENA ZA UHAKIKA. WAIT.....
 
Nasubiri mkuu..balaa tupu.
 
Jamani naombeni mwenye namba za simu za premierbet anipatie niwapigie coz kwenye email no response, nimedeposit hela kwenye account toka saa tatu asubuhi hadi sasa haijasoma kwenye account na nimefuata taratibu zote za kudeposit.
 
Kama umefanya malipo kwa no ambayo haujaisajili kwenye taarifa zako haiwezekani...angalia kwenye web yao...contact us
 
hawa new york city na mwenzake new york red bull ni pumbavu kabisa.... mkeka wa timu 12 magoli yasifike ma5 (under 4.5) wameua wao, na mkeka wa timu hizohizo 12 sare ndani ya dakika 10 wameua tena wao....khaaaaaaaaaaaaaa......
 
pole ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…