Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila wakusoma,mbona kama ulimtusua ule wa mapema wa Y,kwa nordsjaelland
 
Leviski Sofia (Bulgaria) - WIN
Club Brugge (Belgium) - WIN
Barcelona (Spain) - WIN
Aab Aalborg (Denmark) - WIN
Anderlecht (Belgium) - WIN
Young Boys (Swirtzland) - GG
Glasshoppers (Switzerland) - 2+
Gent (Belgium) - 2+
Botosani (Romania) - 2+
 
duuuuuh.....

Mzee mwenzangu ulivyoshtuka?

Game za Toronto vs Cavs game zote tatu za kwanza Q4 ni under, so kuamkia Jumanne kuna game nyingine. Kama una mzigo nakuhakikishia zile odd 2 ni za uhakika.

Jamaa wanachoshana sana quarter za mwanzo hivyo q4 kushindwa kuscore nyingi
 
Kama umefanya malipo kwa no ambayo haujaisajili kwenye taarifa zako haiwezekani...angalia kwenye web yao...contact us
Hawa sijui wakoje. Kwenye web yao wanataka uwatumie email ambazo sijui hata kama wamewahi kuzisoma.
 
all the best mkuu.
 
wazee wenzangu mimi leo natoka hivi nipate hela za kupigia mswaki.

 
chris1 tupia basi hata mkeka mmoja wa china tukufuate maana mie muhindi kanikamua vyakutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…