KENETH KALONGA
Member
- Jan 15, 2015
- 51
- 24
kaka tupo wengii ciachi ki2 leoLeo natembelea nyota tuu
Niunge watsSap betting 0789289695Tupia over za Leo mkuu...
Cc,budy
Hii topic ya whatsapp group bado inajirudia rudia. Dhumuni kubwa la hii thread ni kusaidiana ili kutusua mpunga, mambo ya whatsapp tuwaachie watu wengine
daah, Wa Kusoma ttzo mtaji wa kujilipua ... noma sana. Ukiona Root, Wa Kusoma, Econometrician, Complex na wengineo mmejilipua na 500K ujue mna mitaji ya zaidi ya 800K au 1m kbs
Sure.... Ni sichezagi timu pungufu ya 15..... Kwa buku nafukua 50 - 100.….. .. Lakini nakosa timu 1 au 2..... Kipindi sikuwa na majukumu ki hivi kulikua natia mzigo.... Siku hizi nacheza for fun .... Koz kwanza nimeacha tungi. ... Nimeacha michepuko.... Nimetulia na ndoa.... Na wife anaijua hizi bizness..... Solo nlikua naweza poteza hata 50 to 100 .... Without feeling it...coz nlikua man alone... Sasa nna make mtoto na Dada wakazi na wadogo... So siezi bet the wager I used to...... Am just digesting for u guys..... I'll be back in bizness soon.... U won't regret being here...... Salute kwrnu wote ma INVESTORS
🙂😉
Twenzetu kwani nini!Chief ngoja nikufuate kwa stake 2,000/=
tule wote dadadakHero de Mmar, chagua chache hapa ... au km unataka tufe wote, basi twenzetu ... (nimetoka na jumla ya timu 11 baada ya kuingia chimbo la mda mfupi)
View attachment 349812
One virus detectedImenibidi nicheke, kila sku lazma mchawi mmoja atokee.Sijui wanakaa kwenye simu?
Bet lost. Tukutane next week kuanzia jumatano
Twenzetu kwani nini!
Hizi buku mbili mbili kuna wengine wanachoshea maini kwa viroba huko..
Kwaiyo wakusoma 450000 umeliwa???
mbona kashinda hio gameMidtjyland anaenda kuchana mkeka muhimu sana nilimpa double chance ila naona anaenda kuchana huu mkeka
Kashindambona kashinda hio game
umeongea point kweli ya kutufarijiHahahahaha ... daaah
[emoji2] [emoji1] [emoji1]Hahahahaha ... daaah