Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ntatoa mrejesho tena ...nimepigwa mkono..... Zimebaki timu 3 .. ... Nimechelewa toka semina ....nkabet muda umekata....hata muda wa kushare ukawa limited.... Natunzaa mtaji huuu kwa Euro na Copa.... Tukutane kwenye vita vya kiimani ( betwar)... Am out full combated
 
kesho najilipua hivyo.
Paide LM win
Flora tallin win
Tractor sazi win
Wurzburger Kickers win
Vasco dagama win
CSKA Sofia draw 45'
 
Mkoa na wilaya zake.... Asante Magufuli... Umelelewa na ushirika.... Umesomeshwa na Ushirika... Ukafanya kazi Ushirika.... Unajua umuhimu wa ushirika..... Waliokuachia wote ni Mkapa tu ndie aliyejaribu kurudisha Ushirika.... Huezi amini miaka yangu 7 ya utumishi wa umma..... Nimehudhuria semina hazizidi 10... Ndani ya hizo 3 ....ni ndani ya utawala wa Magu..... Na kupitia makosa ya Mkapa. .. Kikwete akaunda Tume ya Maendeleo ya Ushirika .... .. Na wewe Magu unaendeleza..... Tuwezeshe tukomboe wananchi. .. Kila sekta ina kikundi iwe Afya,elimu,uvuvi,mifugo,misitu,nyuki,ngozi, na kadhalika wote ni vikundi..... Vyote kwa ujumla ni ushirika.....

Msemo wetu:
Ushirikaaaaaaaaaaaa
Pamoja tujenge Uchumi.....

NB: nje ya Uzi .... Ningeweza post huko ila nimeamua kupost huku napo muwe na uelewa wa ushirika. ... Kwa maswali zaidi ya ushirika kanuni miundi na sheria....njoo inbox...thanx
 
Ndugu kuna hyo system ya Supabet ni noma,,mpk m200,ukiwin unabeba mzigo,,jisajili on line babake

Supabet, c ndo ile ilikuwa inaBania kumlipa mtu hela yake.....wakawa wanasema ODD zilikoseewa!?
 
Ndo hyo ila jamaa atalipwa asee,ilaa jaman mie napigwa kinoma sijui nakosea nn ktk kuweka timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…