Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nilisema zimebaki timu 3......ntatoa mrejesho..... kati ya 3 hizo 2 zimechana.....damu gani hiiiii......!!!!! eeee baba niepushe na kikombe hiki(kupuruswa)...NILICHOPIGWA TUACHE TU ...MAANA MECHI ZILIKUWA UCHIIIIIIII...... AFU UNAPIGWA INAUMAJEEEEE
 

Attachments

  • waku.png
    11.8 KB · Views: 36
Ndugu kuna hyo system ya Supabet ni noma,,mpk m200,ukiwin unabeba mzigo,,jisajili on line babake
Mimi na A/c ila uwekaji wa hela ndo unanikwamisha na makato yao mkuu wana makato makubwa sana
 
kama siwezi kuweka na kutoa kwa simu..... sicheziiiiiiiiiiiii

Daah! Ila na Meridian nao ni jibu, likija suala la Kutoa kwa M-pesa.

Mi nimetoa toka jana Saa Tano usiku hadi now,na ni 10,000/= +

Ngoja niendelee kuwaona walivyo......
 
nilisema zimebaki timu 3......ntatoa mrejesho..... kati ya 3 hizo 2 zimechana.....damu gani hiiiii......!!!!! eeee baba niepushe na kikombe hiki(kupuruswa)...NILICHOPIGWA TUACHE TU ...MAANA MECHI ZILIKUWA UCHIIIIIIII...... AFU UNAPIGWA INAUMAJEEEEE

Pole mkuu,

No Retreat No Surrender....
 
Wakuu naomba kuuliza premier bet kuangalia tiket cjui naomba kufundiswa


1. Nenda My Account >>> Account Overview



2. Chagua tarehe ya ticket unayotaka kucheck ... af click UPDATE



3. Betslip details zitaonekana. Click kwenye betslip husika kucheck mkeka wako.
 
Premier bana mbona unaweka tim kama 16 hiv na point za kawaida inaleta milion 30 na kituuuu
 
... hebu ngoja kwanza, huenda nikipunguza timu nawapunguza wachawi = ushindi guaranteed 90% (#NawazaKwaSauti πŸ˜€πŸ˜€)



Jana hizi odds 15.99 sikuzitendea haki, ngoja nijaribu na leo nione.
 
Buddy tupiamo mkeka mmoja amazing. Maana nimejiunga mkeka bet jana. Nimeona nibadili kampuni ya kubeti labda naweza nikatusua wiki hii.
 
Meridian lazima wajiangalie kweny Suala la kuWithdraw through M-pesa.....Yaani wanataka kuzidiwa na M-bet,

Mkeka bet all the Best to them, They provided a Super service to their customers.
 
Buddy tupiamo mkeka mmoja amazing. Maana nimejiunga mkeka bet jana. Nimeona nibadili kampuni ya kubeti labda naweza nikatusua wiki hii.



ngoja niandae mkeka Chief ... niwarudishie zile walizonipa jana (hahaha). Mhindi mse**ge sn usipokuwa makini, anakupa 300K af anakuja kuzichukua 500K (zote na nyingine juu)
 
Meridian lazima wajiangalie kweny Suala la kuWithdraw through M-pesa.....Yaani wanataka kuzidiwa na M-bet,

Mkeka bet all the Best to them, They provided a Super service to their customers.



daaah mkekabet ni the BEST kwa kuwithdraw, yani dk 5 nyingi udambwi dambwi ushaingia fasi ya m-pesa. Mi meridianbet naitumia nkiwa sina haraka na hela. Lakini nikifulia nacheza mkekabet ili nikishinda nivute fasta, yani dizain zile "andaa ugali naleta mboga ... "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…