Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya, kesho nikipiga pesa msiseme sikuwambi

Malmo-Salzburg....... GG
Arsenal-Besiktas.......Arsenal
Bayer 04 Leverkusen-FC Win
Athletic Bilbao-Napoli....GG
Aston Villa-Leyton Ori.....Aston villa
Stoke-Portsmouth.........Stoke

At your own risk, I'm not responsible.......
 
Mkuu kama tuliamka wote Leo.. Ngoja tuombe iwe ndivyo
 
Haya, kesho nikipiga pesa msiseme sikuwambi

Malmo-Salzburg....... GG
Arsenal-Besiktas.......Arsenal
Bayer 04 Leverkusen-FC Win
Athletic Bilbao-Napoli....GG
Aston Villa-Leyton Ori.....Aston villa
Stoke-Portsmouth.........Stoke

At your own risk, I'm not responsible.......

pole kaka naona aston villa wamechana mkeka
 
kwa anae jua namna ya kuweka pesa kwa njia ya mpesa kwenye account ye meridian naomba anieleweshe
 
mi ndio mchawi wa kubet kesho nakuja na team za ushindi hapa hapa
 
kwa anae jua namna ya kuweka pesa kwa njia ya mpesa kwenye account ye meridian naomba anieleweshe

Bofya *150*00# chagua namba 4 ingiza namba ya kampuni ambayo ni 170066, namba ya kumbukumbu andika jina lako mfano(masamaki), weka kiasi, namba ya siri then thibitisha. Kule kwenye acc ya meridian yaweza chukua nusu saa au zaidi kufka.
 
hii ya kuandika jina nimewapigia meridian na kuwakosoa sana, imagine kuna "masamaki " wangapi waliojisajili meridian?? pesa yangu elfu1o imepotea hivihivi nimesumbuana nao hadi basi, ndipo wakaniambia siku ingine weka akaunti id ya meridian kwa uhakika zaidi pesa isipotee.
 
Pole mkuu
 
Haya, kesho nikipiga pesa msiseme sikuwambi

Malmo-Salzburg....... GG
Arsenal-Besiktas.......Arsenal
Bayer 04 Leverkusen-FC Win
Athletic Bilbao-Napoli....GG
Aston Villa-Leyton Ori.....Aston villa
Stoke-Portsmouth.........Stoke

At your own risk, I'm not responsible.......

Aston villa ameharibu mkeka hapo pole mlio tembea na huo mkeka ......
 
Leo mpe

Tottenham.
Inter
Twente
Villareal
Upige pesa

villareal odd ndogo sana 1.15, totenham odd 1.16, inter odd 1.10, hapo hakuna mbesa, mwenye odd nzuri kidogo twente odd 1.58 ambaye naye hana uhakika anaweza draw, lbd uwawekee magoli hizo za kwanza
 
Back
Top Bottom