Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mie ninapumzika kwa kiasi hivi. Maana nataka weka win kwa timu kubwa tu kwa mwezi mzima afu naweka vihela
 
mi ndio mchawi wa kubet kesho nakuja na team za ushindi hapa hapa

Kama umezitengeneza wewe LETE TUZIONE!ILA KAMA NI HIZI ZA KÌNA R MADRD,A MADRD ANAYEMFUNGA R MADRID LAKINI AKATOKA SARE NA R VALECANO!
 
Hao ndio wenye uhakika

mkuu hatubet ili kujifurahisha, yani timu ya odd 1.1 unabetia ili iweje au unaweka milioni???

, mimi timu yenye below 1.5 siiwekei mzigo hata iweje, narisk kubet nipate pesa sio alimradi
 
wadau nataka kuweka lokomotiv moscow,metalist kharkiv na krasnodar kwa 30000 vipi imekaaje?
 
daaaaahh.PNGhuyu mdosii huyuu ebu angalia huu mkeka alafu nambieni wadau imeniuma sanaaa!!!! arrrgh
 
Pole sana mkuu ndio betting hiyo.
Hebu leo tuwekee unazoeka
 
Bomu langu hili hapa..
 

Attachments

  • 1409235437744.jpg
    1409235437744.jpg
    78.6 KB · Views: 69
Back
Top Bottom