Sijui ni vodacom (m pesa) au m bet wanamatatizo au ndio utaratibu mpya hata siwaelewi?uwa naweka mzigo kwao sasa mpaka muda huu hakuna ticket hata moja walionilipa,bado siku haijaisha lakini nitawekaje mzigo ikiwa nilichopata hawajanipa na sina salio ktk mpesa?nipo kijijini sana kwa hiyo hakuna kampuni yoyote nitakayoweza kuamia.najua wahusika wapo hapa jf km ni hivyo basi wafanyie kazi ili tuweke mzigo mpya