Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo




daaah, huyu mhindi wallah ... πŸ™πŸ™



Kweli kubashiri ni kazi ngumu sana. Napunguza tena, saivi timu 2 mwisho 3.
 

Attachments

  • upload_2016-5-24_22-39-29.png
    52.4 KB · Views: 46
  • upload_2016-5-24_22-39-55.png
    7.8 KB · Views: 48
[emoji35] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] yaani wachawi wanabana mpaka mwisho



acha kabisa, nimemrudishia mhindi buku 7 zake nlizomla jana ... hahahahah
Huu mchezo hauhitaji jazba ... teh teh teh
 
acha kabisa, nimemrudishia mhindi buku 7 zake nlizomla jana ... hahahahah
Huu mchezo hauhitaji jazba ... teh teh teh
Jaribu option hiii mkuu japo ina odds chache ila ka kama una mtaji naona inaweza kutufaa kwa kiasi fulani
Ipo kwenye correct score ambapo utachagua ile correct score ya pili(kwenye premier betting) kisha unaselect option inaitwa Other.
Ikimaanisha matokeo yawe tofauti na ile orodha waliyo weka wao
Kama hujanielewa vizuri ni vyema ukatembelea option husika. Ili kuijua vizuri
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-24-23-02-56.png
    23.1 KB · Views: 43
Hapo nilikuwa ktk majaribio ili kuielewa vizuri hiyo option nisije nikawalisha tango pori. Nikaona kitu kimejipa
 



Asante sana mkuu ... hebu ngoja niiangalie hiyo option.
 
Wakuu naombeni kuuliza kutoa hela premier bet unafanyaje na kutoka zinachukua mda gani wakuuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…