Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
Nataka kubet game la jmosi kabla odds hazijashuka sana ushauri wenu.
Madrid 2.34
Draw 2.95
Atletico 3
Nitupie wapi?
Mkeka bet namna ya kutumia maana najaribu kuweka pesa kwa tigo pesa inagoma au wanaanzia kiasi gani ufafanuzi taafadhali maana mie mgeni kwa hii kituNataka kubet game la jmosi kabla odds hazijashuka sana ushauri wenu.
Madrid 2.34
Draw 2.95
Atletico 3
Nitupie wapi?
Basel sio wa kumfuata normal cheza magoli anapoint nyingi sana hata akipigwa hawa wanaomfuata hawampat tayar bingwa
Buddy vp leo HJK Helsink unampimiaje.
Mi jana nimefuata magoli,na Bado kaninyima hela.[emoji22][emoji22][emoji22]
jamani nikiwashe hapo.
Nim Nampa atretico asilimia kubwa ya kushindaNataka kubet game la jmosi kabla odds hazijashuka sana ushauri wenu.
Madrid 2.34
Draw 2.95
Atletico 3
Nitupie wapi?
Think twiceQuick list of Panionios players missing today
Ansarifant
Bakasetas
Karamanos
Halkiadakis
Tzandaris
Oikonomou
Vlachos
Naombeni odd 2 za leo niweke mzigo wa maana
ben86 ule wa jana vp ulitik???Naombeni odd 2 za leo niweke mzigo wa maana
ben86 ule wa jana vp ulitik???