mkuu ya kwangu imesha fika ilifika sa sita kama na dk 10 na nili withdraw sa kumi na moja alfajiri naona wako vizuri kidogonami ilokuwa saa 12 mpaka sasa hazijafika
wapo fresh kumbemkuu ya kwangu imesha fika ilifika sa sita kama na dk 10 na nili withdraw sa kumi na moja alfajiri naona wako vizuri kidogo
yap kwa haraka haraka imechukua masaa 7wapo fresh kumbe
Wanachelewa sana mm wameludisha kwenye akaunt yangu nime withdraw tena cjui watatuma saa ngapi?mkuu ya kwangu imesha fika ilifika sa sita kama na dk 10 na nili withdraw sa kumi na moja alfajiri naona wako vizuri kidogo
pole mkuu. ni mkwanja mpana?Wanachelewa sana mm wameludisha kwenye akaunt yangu nime withdraw tena cjui watatuma saa ngapi?
Hapana elf 60 cyo nyingipole mkuu. ni mkwanja mpana?
Duh hapo kutakuwa na tatizo[emoji35] [emoji35]Hapana elf 60 cyo nyingi
Cjajua jana nilitoa hata saa1 haikuisha hela ikawa imefikaDuh hapo kutakuwa na tatizo[emoji35] [emoji35]
Ahaa kumbe ni mtandao sasa nilijua ndio utaratibu waoCjajua jana nilitoa hata saa1 haikuisha hela ikawa imefika
Ilikua sangapiulipo toa hiyo janaCjajua jana nilitoa hata saa1 haikuisha hela ikawa imefika
Saa1 kabla ya 2 ikawa imefikaIlikua sangapiulipo toa hiyo jana
Nawaomba jamani... Ndio pesa ya mwisho jamani.. Muende sare tu ndani ya dakika 10 za mwanzo
Labda mm NDo sielewi maana ya first half 12?
Hapo umeweka timu ya ugenini ishinde first half
Labda mm NDo sielewi maana ya first half 12?
Duh hapo wameniweza Leo.Hapo umeweka timu ya ugenini ishinde first half
Nawaomba jamani... Ndio pesa ya mwisho jamani.. Muende sare tu ndani ya dakika 10 za mwanzo
Hahahaaa! Waungwana hawapendi.Ndugu yangu unajua sana betting, na nakuombea utusue lakini uwe unasimamia maneno yako...ukisema unapumzika pumzika kweli...Mie nakama mwezi napita tu kuona wafanya biashara wenzangu wanasemaje kuhusu Bei ya mazao(Betting vs odds) Ukisema unapumzika then ukacheza mizimu inachukia....