Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Haya, kesho nikipiga pesa msiseme sikuwambi
Malmo-Salzburg....... GG
Arsenal-Besiktas.......Arsenal
Bayer 04 Leverkusen-FC Win
Athletic Bilbao-Napoli....GG
Aston Villa-Leyton Ori.....Aston villa
Stoke-Portsmouth.........Stoke
At your own risk, I'm not responsible.......
Bayer 04 Leverkusen anaua uku, dakika ya tisa 2-0
Haya, kesho nikipiga pesa msiseme sikuwambi
Malmo-Salzburg....... GG
Arsenal-Besiktas.......Arsenal
Bayer 04 Leverkusen-FC Win
Athletic Bilbao-Napoli....GG
Aston Villa-Leyton Ori.....Aston villa
Stoke-Portsmouth.........Stoke
At your own risk, I'm not responsible.......
kwa anae jua namna ya kuweka pesa kwa njia ya mpesa kwenye account ye meridian naomba anieleweshe
hii ya kuandika jina nimewapigia meridian na kuwakosoa sana, imagine kuna "masamaki " wangapi waliojisajili meridian?? pesa yangu elfu1o imepotea hivihivi nimesumbuana nao hadi basi, ndipo wakaniambia siku ingine weka akaunti id ya meridian kwa uhakika zaidi pesa isipotee.Bofya *150*00# chagua namba 4 ingiza namba ya kampuni ambayo ni 170066, namba ya kumbukumbu andika jina lako mfano(masamaki), weka kiasi, namba ya siri then thibitisha. Kule kwenye acc ya meridian yaweza chukua nusu saa au zaidi kufka.
hii ya kuandika jina nimewapigia meridian na kuwakosoa sana, imagine kuna "masamaki " wangapi waliojisajili meridian?? pesa yangu elfu1o imepotea hivihivi nimesumbuana nao hadi basi, ndipo wakaniambia siku ingine weka akaunti id ya meridian kwa uhakika zaidi pesa isipotee.
Mie mpaka sasa naugulia, Manchester sio wa kuwawekea dhamana
Haya, kesho nikipiga pesa msiseme sikuwambi
Malmo-Salzburg....... GG
Arsenal-Besiktas.......Arsenal
Bayer 04 Leverkusen-FC Win
Athletic Bilbao-Napoli....GG
Aston Villa-Leyton Ori.....Aston villa
Stoke-Portsmouth.........Stoke
At your own risk, I'm not responsible.......
Aston villa ameharibu mkeka hapo pole mlio tembea na huo mkeka ......
Leo mpe
Tottenham.
Inter
Twente
Villareal
Upige pesa