upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,089
- 4,535
View attachment 351718
Hao wa juu yanahitajika magoli mawili na hao wa chini goli katika kila kipindi,nashangaa bado wanaangaliana tu.
Hao washambuliaji wao wanalipwa mshahara wa bure tu pumbavu zao.
aah buddy naona tayar mamb ymekubal hongeraa johUkicheza magoli sometimes ni raha sana, mkeka unakuwa umeshatick kabla game hazijaisha. Hapa anasubiriwa Rosenborg vs Molde wapata goli moja tu kipindi cha kwanza (game inaanza saa moja). Jah bless
Duuh..pole sana...
Basi na hivi ndivyo AIK vs Orebro walivyonikosesha hela ... grrrrrrrrrrrr, walitumwa hawa. mxiuuuuuuu
View attachment 351732
aah buddy naona tayar mamb ymekubal hongeraa joh
Duuh..pole sana...
Kampun gan io lkn..
Nmependa layout yao
mchezo wa over na under huwa sigus but leo nimegusa hv ukiweka over inatakiwa yaanzie magoli mangapi? yakitoka 3 kamili vp bet lost or win? msaada wazee
Tnx Buddy[emoji109]Hii ni mkekabet Chief.
View attachment 351728
Kama sio uchawi ni nini aiseh,angalieni magoli katika mechi nyingine then angalia hao nyau.
Nani atakuwa next kuwa mwekundu au wa kijani kati ya hiyo mikeka miwili iliyo baki?Kaka nakwambia "ndumba" za Kanjibah ni nomaaa ... yani unaweza ukacheka. Wengine wote wametoa 3+ kasoro wao tu. daaaah.
Buddy naona umekuwa sasa, utabiri wangu umetimia sasa unacheza 50k
Basi na hivi ndivyo AIK vs Orebro walivyonikosesha hela ... grrrrrrrrrrrr, walitumwa hawa. mxiuuuuuuu
View attachment 351732
buddy naiongelea ile ya m bet ya 2.5 over na under. kwa mfano ukaweka over 2.5 ikatoka tatu kamili inakuwaje bet lost or win?
Kaka Over/Under inategemea utachagua option gani. Kuna ...
Over/Under
0.5
1.5
2.5
3.5
4.5
5.5 (sometimes)
Buddy naona umekuwa sasa, utabiri wangu umetimia sasa unacheza 50k
mr q hiyo betsite ipi unayotumia?Nani atakuwa next kuwa mwekundu au wa kijani kati ya hiyo mikeka miwili iliyo baki?
Hatari sana nimefukiza udi na kuweka mfupa wa nguruwe huyo mchawi atakaye jitokeza sasaitabidi tumsafirie kwa babu sumbawanga au kigoma kabisa.
buddy naiongelea ile ya m bet ya 2.5 over na under. kwa mfano ukaweka over 2.5 ikatoka tatu kamili inakuwaje bet lost or win?
premierbetting mkuu.m
mr q hiyo betsite ipi unayotumia?
Buddy nilikua na wenge mkuu nimepigwa mikeka mitano ulikuwa umebaki mmoja tyu ndo huo nilikua nauwaziaa kinoumaOver/Under 2.5
Over - maana yake magoli yawe ma3 na kuendelea
Under - maana yake magoli yawe ma2 na kushuka (magoli yasizidi ma2)