Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaah yani mimi nishakua addicted na betting nisipobet cjui najiskiaje yani cku haitaisha vizuri niko tayar kuweka hata kamkeka ka jero tuu, nkishindwa kabisa naweka ka mia mbili mkeka bet alafu nausikilizia hapo cku itaisha vizurii

Ahahahhaahaah, pole sana mkuu, hahahaha
 
Godoy cruz v estudıante .
HT X
additional tip
htft xx
100 % sure
twende kazii
 
Wakuu kuna haka kaoption kana odd kubwa sana mkekabet nimekabahatisha sema stake ilkua ya kimaskini, wazee wa stake kubwa muwe mnajaribu hapa View attachment 351758
mkuu hata mimi nilikabahatisha kale ka option ka 1Y: 2Y: niliunganisha team 5 nikaweka mia mbili asubuhi nili mpiga laki na 27. wenye kujua kuchambua mpira vizuri wajikite kwenye option hii.
 
mkuu hata mimi nilikabahatisha kale ka option ka 1Y: 2Y: niliunganisha team 5 nikaweka mia mbili asubuhi nili mpiga laki na 27. wenye kujua kuchambua mpira vizuri wajikite kwenye option hii.
Ni option ina odds nyingi kweli em tufanye ushirikiano tutafute timu 4 au 5 za kesho mkuu
 
mkuu hata mimi nilikabahatisha kale ka option ka 1Y: 2Y: niliunganisha team 5 nikaweka mia mbili asubuhi nili mpiga laki na 27. wenye kujua kuchambua mpira vizuri wajikite kwenye option hii.
tupia mkeka nijue jins ya kuweka hyo option
 
mkuu hata mimi nilikabahatisha kale ka option ka 1Y: 2Y: niliunganisha team 5 nikaweka mia mbili asubuhi nili mpiga laki na 27. wenye kujua kuchambua mpira vizuri wajikite kwenye option hii.

Hiyo 1Y: 2Y ina maana gani wakuu?.
 
1Y maana yake home team itashinda ila timu zote zitafungana.
2Y maana yake away team itashinda ila timu zote zitafungana.

Ni option nzuri ila timu moja inatakiwa iwe kibonde hapo.
Juzi chile alininyima kama laki6 hivi kwa mfumo huo, nilimpa 1Y matokeo yake yakawa 2Y Jamaica akashinda.
 

Dah mzigo umetick huu
 

Hongera kaka, nimetembelea na hii nyota leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…