Sheria zimebadilika siku hizi,?? Unashundaje huo MKEKA?How?
1st half: 1 goal
2nd half: 1 goal
=Bet lost
Shusha timu mkuuLeo Sweden na Norway kuna hela kwa option za magoli
Mr Q naona ile red card ilikosekana bet won niliongeza na tu timu fulani asubuhi kuangalia bet won kahela kamerudi kidogoo afadhali"Red card No" weka pesa yako ya mkopo kisha nenda kaangalie mechi huko ukisubiri mkwanja wako.
Pamoja mkuuMr Q naona ile red card ilikosekana bet won niliongeza na tu timu fulani asubuhi kuangalia bet won kahela kamerudi kidogoo afadhali
AlavesNIAMBIE MCHAWI NANI HAPO NIMTOE FASTA
Poa poa naona kuna mmoja anacheza na timu inayoshuka daraja japo nae anawinda nafasi ya kwanzaAlaves
Leganese
Kwa ushauri wangu ungeikata hiyo stake ukatengeneza ata mikeka mi4 kwa kuzichanganya timu hizohizo utakua umetega vizuri zaidi ukichanika mmoja unaendelea kusubiri mwingine