Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sasa kw

a mfano iyo mechi ya kwanza nani anakuwa anaongoza?
hiyo slip unayo Iona tayari ni won. ndo maana unaona tangu ya kijani cha kufanya nenda premier betting nitafute hiyo option utaielewa tu ni rahisi
 
Ndio naingia mzigoni mda huu. najilipua segunda division. Naona leo ligi inaisha hivyo kutakua na magoli kedekede.
 
MATCH YA PANATHINAIKOS INASHINDWA KUFIKISHA GOLI 2,ni balaa kwa kweli,uhakika wa kuwa PANATHINAIKOS anashinda nilikuwa nao na alikuwa na odd ya 1.23,nikasema niweke magoli watoe 2+ odd 1.27 katoka 1-0,mkeka wa timu nane chali na 7 zimetick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…