tupia odds tuziona nasi tumeze bomu kwani tayari nauguza mpaka sasa full kupigwaNdio naingia mzigoni mda huu. najilipua segunda division. Naona leo ligi inaisha hivyo kutakua na magoli kedekede.
hapa nawaza jinsi ya kutafuta mtaji wa kesho hata sielewihii ndo IPO pending
View attachment 351945
nadhani ni kama hatua za kudeposit kwa kutumia vodacom click depositi then tigo kisha endelea na hiyo ni baada ya kuwa umelog in coz namba ya kumbukumbu wanakupa wao wenyeweNimeomba msaada humu namna ya kudeposit Salio kwa tigo pesa, premiere betting lakini sikupata msaada.
Nisaidieni haraka tafadharini
Unaingia kwenye deposit ndan ya premier,.. ukishaimgia utaweka salio unalodeposit then utaconfirm utapewa namba ya muhamala.Nimeomba msaada humu namna ya kudeposit Salio kwa tigo pesa, premiere betting lakini sikupata msaada.
Nisaidieni haraka tafadharini
Hiyo option tatizo ina odds ndogo ndogo mno. Ukiweka 10.000 unakula 2000 bado risk ya kuliwa iko pale pale japokuwa sio kubwa.Tunaendekea kusaka maji kupitia kale ka option
Hiyo option tatizo ina odds ndogo ndogo mno. Ukiweka 10.000 unakula 2000 bado risk ya kuliwa iko pale pale japokuwa sio kubwa.
kaoption gani hako mnakoongelea mkuu?Odds ndogo ndio hela hio..weka mechi 21 weka stake kubwa utamburuza kanjibai kila siku probability ya kuliwa kwa hio option ni ndogo sana mfano leo genk ndio kaniharibia.
Kapi kwenye premier bet. Unachagua idadi ya magoli kipindi cha pili.kaoption gani hako mnakoongelea mkuu?
Unaona mkuu unapoweka timu nyingi uwezekano wa kuliwa ni mkubwa. Ona sasa kama Genk walivyokuharibia. It means ukiliwa mara moja utaweza kurudisha pesa baada ya hata michezo kumi ya kushinda. Hauoni ni hasara? Bora uweke timu moja au mbili ambazo uhakika ni mkubwa.Odds ndogo ndio hela hio..weka mechi 21 weka stake kubwa utamburuza kanjibai kila siku probability ya kuliwa kwa hio option ni ndogo sana mfano leo genk ndio kaniharibia.
hizo zote zimetoaUnaona mkuu unapoweka timu nyingi uwezekano wa kuliwa ni mkubwa. Ona sasa kama Genk walivyokuharibia. It means ukiliwa mara moja utaweza kurudisha pesa baada ya hata michezo kumi ya kushinda. Hauoni ni hasara? Bora uweke timu moja au mbili ambazo uhakika ni mkubwa.
pole buddy