Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahah, kweli chief. Mwendo wa single bet au sio? ... nimeipenda hiyo style ... ngoja na mm kesho nacheza singles tu
Naanza na 10, hadi jioni inshallah ntakuwa sijakosa 30K.
Inabidi tubadili mfumo tu maana hakuna namna, 4 4 2 haifanyi kazi tunajaribu 3 5 2 nk nk nk..
 
Inabidi tubadili mfumo tu maana hakuna namna, 4 4 2 haifanyi kazi tunajaribu 3 5 2 nk nk nk..



Kweli aisee, bora kula hata buku 2 kuliko kupoteza 500. Kuanzia kesho hiyo ndio formular .. ni mwendo wa 'doubles' tu. "Kidogo kidogo hujaza kibaba" ...
 
Mimi kuanzia sasa kila siku nitatafuta odds 2 tu na kwa kuanza leo mtaji ni 2,000 hadi jumapili hesabu yake unaweza kuijua.
 
kweli aisee yani ukipata odd 2 za uhakika alafu ukaweka buku ten hapo unafaida ya buku ten juu sio mbaya mambo yanaenda
 
Mimi kuanzia sasa kila siku nitatafuta odds 2 tu na kwa kuanza leo mtaji ni 2,000 hadi jumapili hesabu yake unaweza kuijua.
Tena inabidi kuanza na mechi za mapema kabisa ili ukipiga unaendelea na game nyingine then jioni unapiga hesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…