inategemea ulibet vp!Wakuu Ukibet Both Team To Score Second Half.Timu moja ikapata goli kipindi cha kwanza na chapili na timu nyingine ikapata goli kipindi cha pili vp unakuwa umewin au lose
Jana nimekula K.O tena ni first round K.O zile za Iron Mike enzi akiwa kwenye kilele cha kurusha masumbwi..
Jaman leteni leo odds mbili tusafirie nyota leo nataka kujilipua na pesa ndefu timu chache maana nmeliwa sana kisoro
Wakuu Ukibet Both Team To Score Second Half.Timu moja ikapata goli kipindi cha kwanza na chapili na timu nyingine ikapata goli kipindi cha pili vp unakuwa umewin au lose
Utakuwa umeloose, ila ungesema kwa game nzima itakuwa win!
merdian kila nikiingia na kuanza kuweka mkeka inaniambia server error sijui ni kwangu tu
Wakuuu naomba kujua maana ya GG
Nashukulu mkuuTimu zote zifungane
Natembelea Nyota Yako LeoKairat Almaty - WIN
Flamengo - WIN
Osters - WIN
USA (W) - WIN
MPS / Japs (GG)
Macedonia / Iran (GG)
England / Portugal 2+