Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale ambao mpo moshi mzigo mnawekaga wapi??
 
hiyo inaitwa 28+ yani unazuia magoli yasipatikane ndani ya dk 28 za kwanza mf goli lifungwe kuanzia dk 28 na kuendelea other wise umechanaaaaaaaaa

odds zake naona ni nzuri sana....inatkana wap
 
Kiukwel me nabet but npo against na weng wenu humu ndan .option zangu ni .1+1 ,gg/ng, 28+ under\over 2.5... Nkiona mambo magumu napga double chance game 5 na 2+ game tano natia elf10 naenda kulala .ila final score mhh.cimuamini kbaka yoyote .but leo nimemkosakosa muhnd wik iliyopita niliweka double chance 12 game 30 ,ilikuwa nipate mil 2 na ushee vibaka wanne wametoa sare.
 
Naisi hata nayo itavurunda tu

Nami nimeangaika sn na timu zaid ya 2,NÌLÌANZA KUBET NA TIMU 8!NÌMEPUNGUZA MOJA MOJA MPAKA SASA HV NACHEZA TIMU 2 TU,THEN NAWEKA BUKU 10 AU 20,JMOS NAWEKA MPAKA TIMU 4 KWA MKEKA M1 THEN DAU NI 500/=TU
 
je unaliwa kwenye bet sheikh appoh yahaya nimekuja na solution kwa kuanza tu nawapa timu tano za ushindi.msisahau kunitumia fingu la kumi kwa njia ya tigo pesa namba yangu ni0712505049.chochote kile utakschguswa na huduma yangu
 
getafe
marselle
gent
terek grozn
vallencia
mzigo huapo matokeo nipeni nyinyi mi nshafanya yangu with confindance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…