kweli kabisa mkuuu....kwenye fainali ya kombe la ligi barcelona kaniachania 800,000 na alipewa 1.26Kumjua mchawi ni kaz sana mtu unaemuamin ndio anaharibu usiemuamin ana fanya vzr,, hamna namna ni kujipanga kesho nayo ck
mkuu embu mpe maana ya hizo options....maumizi yote haya ataweza kupata hayo majawabu kweli?KWENYE UZI HUU HUU
mkuu embu mpe maana ya hizo options....maumizi yote haya ataweza kupata hayo majawabu kweli?
Mmmmh Mozambiki kwake ni mechi ngumu sana...labda 2+ au GGMozambiki naye kapewa 7.2 , nahisi anaweza kumfunga Rwanda...
Itashinda ipi au drowTanzania - Egypt (X)
Odds 5.11
Weka stake nzuri kuanzia laki
X ni sareItashinda ipi au drow
Poa mkuu lakini leo tanzamia inapigwaX ni sare
100 100 mkuu!1Y maana yake timu zifungane ila wanyumban ashinde mfano 2-1
2Y waugenini ashinde kwa tofauti ya magoli mfano 2-3 ,1-5 nk
1N wa nyumbani ashinde ila wa ugenini asipate goli lolote mfano 1-0 ,3-0
2N waugenini ashinde ila wa nyumban asipate goli hata moja 0-6 ,0-2
NX pawe na sare tasa 0-0
YX pawe na sare ya magoli 2-2,4-4