Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizo timu unawapoteza watu aisee marseile,terek ngumu kushinda siku hizi hapo valencia ndo uhakika

si tupo babu subiri uone na hapa nina ubashiri wa ligi ya uingereza yote mkiniamin nauchia wote
 
Jamani jana mikeka yangu mitatu imeharibiwa na timu moja tu. 848,000,780,000,41,000
Zote hizo timu moja imeniharibua daaah jamani yaani ile green kwenye mkeka hadi raha yaani
 
Jana mm zurich kaharibu mikeka miwili na metalist kaharibu mmoja
 
Jamani jana mikeka yangu mitatu imeharibiwa na timu moja tu. 848,000,780,000,41,000
Zote hizo timu moja imeniharibua daaah jamani yaani ile green kwenye mkeka hadi raha yaani

mkombozi nimekuja naitwa sheikh appoh yahaya aka fundi bet
 
amini amini nawambieni mimi nimetumwa kuwakomboa katika ghazabu za kuliwa na kuchana mikeka mimi ni mwokozi

utabiri wako wa leo ndio mtihani wako wa kwanza,ukifanikiwa kesho mimi ni mmoja wapo wa kukupa 10%
 
Hahaa anaweza akabahatisha leo kesho akabugi labda apatie mechi za siku tano consecutively ndo tuanze kumuamini
 
Mbona leo huu uzi umepooza hivi au ndo mnajipanga kwa kesho? wengine bdo tuko kazini
 
Muhind anatupiga Knock out kila kukicha kuinuka tabu aisee,,.. Naona manabii humu ngoja tupime uzito wao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…