Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Imma Dribbler! πŸ€ With a dream of winning millions @1xbet πŸ€ according to my own Vetting......one day itafahamika tu ....masaa tunayotumia kuumiza kichwa yatalipwa tu one day
 

Attachments

  • Screenshot_20230307-164539.png
    28 KB · Views: 28
  • Screenshot_20230307-164413.png
    22.1 KB · Views: 24
Sportybet
C82A21 odds 23
AA2805A odds 181 Basket
D78509E odds 88
 
Ndo maana ya kamari
Watu mpaka wanatoa hizo odds wanaangalia vitu vingi sana tofauti na mashabiki mpira wafanyavyo.
Watu wanafanya SWOT
Hivyo vitu wanavyo angalia ndo hufanya kuzipa timu odds za 1.12 na inapigwa goli hata 3 na yenye odds 15 WIN analysis is not performance on the pitch ni kubahatisha tu
 
Wadau wa sportybet nawezaje kujoin.kila nikiingia napata ujumbe huu
Please enter a valid mobile number.
 
Jamani formula ya kumla mhindi ni GO ALL, GO HARD.... leo nimebet 1.3M nimevuna 400k ndani ya dakika 90

haya mambo ya mikeka ya buku tatu unatafuta kula laki mbili, aisee utaliwa sana

NB: Usije kujaribu hii mbinu kwenye mechi za ligi, mechi za ligi ni very unpredictable, Almeria wa nafasi ya mwisho anamfunga Barcelona nyumbani

Lakini kwenye CAF champions League huwezi kuta upsets kama hizo




 
Hongera sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mbongo amemvunja kibubu kanjibai View attachment 2540823
Ukiona mtu kaweka stake kubwa namna hii kwa odds 10 kuendelea.....huyu alikuwa anajua anachokifanya...ingawa bahati pia ina zaidi ya 70πŸ’―.......

By the way hicho ni kiasi kidogo mnoo! KWA bookmarker mkuu...kulingana na miamala ya kampuni husika......

Ni sawa na punje ya mchanga kwenye bahari mkuu...
Haya makampuni yana-make billions! Of money for a single day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…