Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

game ya simba inaweza toa over 1.5 kweli hii?
mikeka yangu karibu yote inadai 1.5
 
Unaua siafu na nyundo mkuu ni lazima afe, asipo kufa basi umekwepesha nyundo akaponyoka....ila daaah betting yako ni kama kazi....
 
Horoyq fc umefunga magoli mangapi mmi nilikupa win straight #sitaki angalia livescore nisije nikajipa pressure
 
Una kazi sana ya kulipromote hilo kampuni lako,ila humu watu wana makampuni yao pendwa.Kama kweli we better jaribu zingine kana 1xb,pari,sportbety,betpawa ndipo utatushawishi,lakini huko uliko humpati mtu humu.

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu vp Leo nba
 


Kampuni ina page kama Bili ya Umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…