zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,039
- 3,613
[emoji81][emoji81][emoji81] tamaa ai hepukiki ukiangalia utazan zote zina toa kumbe kanji ana tuzoom tuChukua odd 2 hapo,acha tamaa
Odds Almost zinafanana, options ndio zinatofautiana.Usiku wa deni haukawii kuisha. Hatimaye leo Yanga uso kwa uso na Bamako. Mara ya mwisho Yanga alilazimishwa draw dakika za jioni kusababisha kijikeka kuchanika.
Je, leo nimpe Yanga au Bamako? Ni wapi wana odds babkubwa?
BETPAWA waoga kuliwa ndo maana wanabana baadhi ya options kwa baadhi ya timu maana wanajua na ma-bonus yao ya kumwaga wazee wa matreni watawazibuaHivi Betpawa option ya player to score hawaweki siku hizi?
HongeraBei ndogo toka dar to kigoma kwa usafiri pendwa wa treni la TAZARA
View attachment 2541912
Shukran mkuu. Karibu kwenye treni kama sehemu ya burudaniHongera
Option gani ambayo kaweka betPawa uliyoiweza kwa 100% Ila we ndio muoga mkuu kama tumeishidwa OV 0.5 hata ije option gani ni kipigo tu bonus anazotoa mkuu zinatosha maana bonus nyingi na kuliwa kwingiBETPAWA waoga kuliwa ndo maana wanabana baadhi ya options kwa baadhi ya timu maana wanajua na ma-bonus yao ya kumwaga wazee wa matreni watawazibua
Mbona yote minofuChukua odd 2 hapo,acha tamaa
Shukran pia mkuu..na Mimi ntaanza kudandia hayo matreni Mana huku kwingine tunanyooshwa kisawasawaShukran mkuu. Karibu kwenye treni kama sehemu ya burudani
Duh😉😉Mechi za leo odds za kumlaza mtu na viatuView attachment 2541944
Check bookee bet option nyingi sanaBETPAWA waoga kuliwa ndo maana wanabana baadhi ya options kwa baadhi ya timu maana wanajua na ma-bonus yao ya kumwaga wazee wa matreni watawazibua
PSG lazima atoke na mguu wa shingoo hawez kupigwa nje ndan leo analipa kisasiDuh😉😉
Kua makini mfupa utakuwepoMbona yote minofu
Tshs 10BETPAWA waoga kuliwa ndo maana wanabana baadhi ya options kwa baadhi ya timu maana wanajua na ma-bonus yao ya kumwaga wazee wa matreni watawazibua
Ungeweka bukuBei ndogo toka dar to kigoma kwa usafiri pendwa wa treni la TAZARA
View attachment 2541912