Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Vp wakuu premer nawezaje kupata team nyingi zinazocheza tofauti ya nazozionaga maana sioni option ya nchi kwa nchi kama ilivyo kwa meridian na mkeka bet

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Nipo kwenye kufurahia betting huku nikichunguza chunguza hapo 15*15 looh zigo la odds
 
Bet won wakusoma. Tunza hela kaka, kesho wakina tallin talin wanacheza nao, lazma tukiwashe tena.
 
Bet won wakusoma. Tunza hela kaka, kesho wakina tallin talin wanacheza nao, lazma tukiwashe tena.
Asantr sana kaka. Napumzika mpaka kesho maana huwa nikila hlf nikacheza tena naishia kurudisha hela yao
 
Asantr sana kaka. Napumzika mpaka kesho maana huwa nikila hlf nikacheza tena naishia kurudisha hela yao



Hahaha ... kwl kbs, Kanjibah ukimla inabidi utulie kwanza kabla ya kurudi tena, la sivyo unamrudishia yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…