Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wajapani leo wanaweza nipa furaha kama Fc Gifu atapata goli moja tu.

Hata mimi Mkuu tatizo hawa Kamatamare na wale Wakorea Goyang na Gangwon mpaka wanaenda mapumziko hawajafungana na wote niliwapa wafungane.
 
nilisahau kuuweka humu jamani...hii ndio team yangu asee....sasa anaongoza 5-0 half tyme

Jumatano 08. Juni 13:00
Roasso Kumamoto vs
Zweigen Kanazawa
Match Result Full Time
Bashiri: 1
Odds: 2.30
 
Leo hadi raha bado jef chiba tu lipatikane goli moja mkeka wa pili utiki.
 
nilisahau kuuweka humu jamani...hii ndio team yangu asee....sasa anaongoza 5-0 half tyme

Jumatano 08. Juni 13:00
Roasso Kumamoto vs
Zweigen Kanazawa
Match Result Full Time
Bashiri: 1
Odds: 2.30

BET WON.
MTAJI UNARUDI
 
Yani wajapani wote wametoa 2+ .... daaah, kwa nn sikuwadhamini 😵😵
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…