Asanteni Japan 2+ imetiki.
Mimi nimeipa 2+wadau peru na Ecuador niichezeje hii mechi. nikiipa Y nahisi kama nitatinyanga vile au nicheze over na under. Nahitaji uchambuzi yakinifu, maana nataka kujilipua.
Mimi nimeipa 2+
Nitamuongezea na Ufaransa hapo nitupie 20kKesho Uruguay anacheza na Venezuela lazima ashinde ili asonge mbele, Mexico anacheza na Jamaica lazima ashinde ili amkwepe Argentina. Odds bado ziko 2.22 ila zinashuka kwa kasi.....Kama mtu ana mzigo mnene aweke hawa jamaa lazima washinde.
labda 3+ kipindi cha kwanzaHivi kweli hawa Haiti, Brazil awezi kuwapiga 5-o mpka halftime???maana dah ni odd 100.....ha ha ha ha ha ha ha
Si mbaya nikizijaribu hizo odd 100 kwa buku ama buku2labda 3+ kipindi cha kwanza
ni kampuni ipi?Si mbaya nikizijaribu hizo odd 100 kwa buku ama buku2
premier mkuuni kampuni ipi?
poa poapremier mkuu