naona watu wameanza kutokua waoga sasa hapo lazma uanze mpiga muhindiUmekua
Hii mechi unaweza kukosa magoli kabsa...ngoja tuoneRomania kakomaa sana. Najiandaa kuanza kucheza under 6
kweli kabisa..first half lakin nyavu hazichezicheziHii euro itakuwa ngumu sana
Romania kakomaa sana. Najiandaa kuanza kucheza under 6
Hii mechi mm nilimpa France ashinde kwa hiyo ikiishia hapa mm nitafurahiDuh..afadhali
1-1Hii mechi mm nilimpa France ashinde kwa hiyo ikiishia hapa mm nitafurahi
Bet wonFRANCE vs ROMANIA Y
Stake 40,000
Return 97,600
Haaaaaa. Upo fasterBet won
Bet wonFRANCE vs ROMANIA Y
Stake 40,000
Return 97,600
Fasta hatari jamaa anacheka tu asa ivHaaaaaa. Upo faster
Kuna option nyingine raha sana unaanza kufurahi hata kabla ya mechi kuisha.Fasta hatari jamaa anacheka tu asa iv